Tuesday 12 July 2016

                     MASHIMBI HERBAL CLINIC 

Mashimbi herbal clinic ni zahanati inayotoa tiba ya asili kwa kutumia miti shamba na matunda asilia pamoja na ushauri dhidi ya magonjwa mbalimbali yanayosumbua afya za binadamu kama vile;
Kisukari, Vidonda vya tumbo, U.T.I, Fangasi, Magonjwa ya zinaa, Presha, Ngiri, Bawasili, Typhod, Mimba kuharibika, Matatizo ya Uzazi kwa wanawake na wanaume, Dawa za kupunguza umeme na kutoa sumu katika miili ya wanadamu.
Mashimbi Herbal Clinic inapatikana mkoani Kilimanjaro, Moshi mjini katika maeneo ya forest karibia na kituo cha Kiboriloni.
Kwa wale wote wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbalii wanaeza kufika zahanati kwetu au wakapigia simu ili kuweza kuwasiliana na Dokta Fredy kwa kupitia namba 0655 422888/ 0765 005961.
AHSANTENI NA MNAKARIBISHWA PIA SANA